HABARI

Ujenzi wa reli ya Dar – Moro sasa rasmi

Shirika Hodhi la Rasilimali za Reli la Tanzania Bara (RAHCO) limetangaza kukamilika kwa malipo ya awali ya ujenzi wa reli mpya ya umeme ambayo itaanzia Dar es Salaam hadi Morogoro.

Akiongea na wanahabari hapo jana, Mkurugenzi Mtendaji RAHCO, Masanja Kadogosa, alisema mradi huo unatarajiwa kugharimu zaidi dola za Marekani bilioni 1.2 hadi kukamilika kwake ambapo ujenzi wake unatarajiwa kuchukuwa kipindi cha miezi 30.

Angalia vidio yake hapo chini.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.