News Ticker

CUF yahamia ofisi mpya, yamuachia Lipumba Buguruni


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, leo amezinduwa rasmi jengo la ofisi za chama hicho ambazo zitatumika kama ofisi ya wabunge na vile vile kama eneo mbadala kwa shughuli za ofisi kutokana na kile alichokieleza kama kukwepa shari ya inayoitwa ‘kambi ya mwenyekiti anayetambuliwa na msajili’, Profesa Ibrahim Lipumba. 


Aidha kiongozi huyo ameelezea kufikia pazuri kwa madai ya Wazanzibari kuhusiana na uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015 ambapo CUF ilielekea kushinda uchaguzi huo kabla ya kufutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.

“Mambo ni mazuri. Kinachoendelea sasa ni mithili ya ndoana kwenye koo la CCM (Chama cha Mapinduzi). Haki iko karibu kupatikana, ” alisema Maalim Seif katika uzinduzi wa ofisi hizo, ingawa alikataa kuzungumzia undani wa suala hilo kwa madai kwamba ni siri ya watu ambayo hapaswi kuianika hadharani. 

Kupata undani wa tukio zima la leo usikose kutazama Zaima Politiki kupitia ZaimaTV. 

About Zanzibar Daima (1550 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

2 Comments on CUF yahamia ofisi mpya, yamuachia Lipumba Buguruni

  1. Hongerani Viongonzi wa CUF kwa nusara mliyoonesha.

    Like

  2. Hongerani Viongonzi wa CUF kwa busara mliyoonesha.

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s