Lipumba si mtu wa suluhu – Maalim Seif

Huku mgogoro uliozushwa kwenye Chama cha Wananchi (CUF) ukiwa hauonekani kumalizika kwa siku za karibuni, Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, amerejelea msimamo wake kuwa haoni haja ya kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, ambaye bado anatambuliwa na msajili wa vyama vya siasa kama kiongozi wa chama hicho.

Angalia vidio hii hapa:

About Zanzibar Daima 1699 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.