Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 6 Juni 2017 

Kuagwa kwa mwili wa Marehemu Mzee Phelomon Ndesamburo, aliyekuwa mwasisi wa CHADEMA na pia mbunge wa muda mrefu wa Moshi Mjini sambamba na hatua ya Bunge kuwazuwia wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya kuhudhuria vikao hadi mwakani ndizo habari kubwa kwenye safu za mbele za magazeti mengi ya leo, ilhali kwenye safu za michezo, habari kubwa ikiendelea kuwa usajili wa wachezaji kwenye timu za Simba na Yanga. 

About Zanzibar Daima 1699 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.