Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 7 Juni 2017 

Kuapishwa kwa mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghirwa, kuzikwa kwa Mzee Phelomon Ndesamburo, na ziara ya IGP Simon Sirro huko Kibiti na Rufiji ndizo mada kuu katika safu za mbele za magazeti ya leo, na kwenye kurasa za michezo mbali ya Simba kuikwepa SportPesa, kuna pia tanzia ya kifo cha Cheikh Tiote wa Ivory Coast aliyefariki dunia mazoezini nchini China. 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.