Baada ya Magufuli kumwaga ugali, Lissu amwaga mboga

Baada ya Rais John Magufuli kutishia ‘kuwashughulikia’ wabunge wanaosemasema ovyo dhidi ya anachokiita mwenyewe vita vyake vya kiuchumi na kumtaka Spika Job Ndugai naye afanye hivyo hivyo bungeni, sasa Tundu Lissu ameweka kila kitu hadharani.

Msikilize hapa.

 

About Zanzibar Daima 1610 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.