Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 13 Juni

Takribani magazeti yote yanazungumzia Ripoti ya Kamati ya Pili ya Rais juu ya usafirishaji mchanga wa madini nje ya nchi na makandokando yake, huku michezoni wakijikita na usajili kwenye timu za soka za Simba na Yanga. 

About Zanzibar Daima 1700 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply