Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo 18 Juni 

Mada ni mchanganyiko. Kuanzia za mazungumzo yanayotarajiwa kuwepo kati ya serikali ya Rais John Magufuli na kampuni ya Barrick Gold hadi taarifa za kiuchunguzi kuhusu kushamiri kwa biashara ya viungo vya binaadamu nchini. Kwenye michezo bado mada za usajili wa timu za soka na uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) zinashika nafasi. 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.