Habari ya kuuawa kwa polisi wawili huko Kibiti mkoani Pwani, siku moja baada ya Rais John Magufuli kufanya ziara eneo hilo na pia hotuba zake za jana akiwa huko ni mada kubwa leo magazetini. Halikadhalika, michezoni kunazungumziwa usajili wa wachezaji kwa msimu wa ligi kuu ya Tanzania Bara. 


 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.