Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 25

Habari za Yussuf Manji kurejesha ufukwe wa Coco Beach serikalini, mjadala juu ya mauaji ya Kibiti na pia tathmini ya Edward Lowassa kuhusu utawala wa Rais John Magufuli ndizo zinazoshika nafasi za mbele magazetini leo, huku kwenye michezo kukiendelea kutanda habari za usajili wa timu za soka za Tanzania Bara. 

About Zanzibar Daima 1696 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply