MAGAZETINI LEO

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 26

Onyo la Edward Lowassa kutaka masheikh wa Uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa waachiliwe, hatua za serikali ya Rais John Magufuli kukabiliana na ufisadi kwa kushughulikia kesi za nyuma zikiwemo za Escrow, Rada na TITCS, na pia kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, kuzitishia NGOs zinazotetea wanafunzi wanaopata ujauzito shuleni ndiyo yaliyopewa uzito mkubwa kwenye kurasa za mbele, huku michezoni kukiwa na sakata la kupewa na kunyang’anywa mchezaji wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama, jina la moja ya mitaa ya Dar es Salaam. 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s