Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 3

Onyo la Rais John Magufuli dhidi ya wanaowatetea viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ya Zanzibar wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa katika magereza ya Tanzania Bara ndio mada kuu kwenye kurasa za mbele, huku michezoni kukiwa na sakata la kusimamishwa kwa uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF). 


 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.