Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 6

Mashitaka mapya dhidi ya mfanyabiashara Yussuf Manji, kauli ya mkuu wa jeshi la polisi, IGP Simon Sirro, kuhusu mauaji ya Kibiti, na kuendelea kuandamwa kwa viongozi wa upinzani ndizo mada kuu kwenye kurasa za mbele, huku kurasa za michezo zikitandwa na jaala ya Jamali Malinzi wa TFF. 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.