Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 7

Mauaji ya jeshi la polisi dhidi ya wanaoshukiwa kuwa ‘wauaji’ wa Kibiti, kujiuzulu kwa jaji mwengine wa Mahakama Kuu, na kumalizika kwa muda wa rufaa za vyeti feki na kwenye kurasa za michezo ni msiba wa kuondokewa na mwanamuziki mkongwe, Shaabani Dede. 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.