HABARI

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Julai 8

Uwezekano wa kupatikana ufumbuzi wa tatizo sugu la madawa mahospitalini, yanayozidi kuwaandama wapinzani kutoka vyombo vya dola, na hatua zaidi dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi ndizo mada kuu leo magazetini, ambapo kurasa nyingi za michezo zinaendelea na stori za usajili. 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.