News Ticker

Wachezaji 5 Zanzibar Heroes na kocha wao waunda kikosi bora Challenge


Washindi wa pili wa michuano ya Kombe la Chalenji iliyomalizika jana Nchini Kenya timu ya taifa ya Zanzibar maarufu kama Zanzibar Heroes wametoa wachezaji watano katika kikosi bora cha michuano hiyo ambayo Kenya iliibuka na kombe.

Zanzibar Heroes, moja kati ya timu zilizocheza mchezo wa kuvuatia, licha ya kutoa wachezaji watano, pia kocha mkuu wa timu hiyo Hemed “Morocco” Suleiman amechaguliwa kama kocha bora akifuatiwa na kocha mkuu wa Harambee Stars, Paul Put.

Kwa upande wa Tanzania Bara, ni mchezaji mmoja tu, Himid Mao, ambaye alikua nahodha wa kikosi hicho, ndiye aliyejitokeza katika orodha ya wachezaji bora wa mashindano hayo.

Kikosi kamili

 1. Patrick Matasi (Kenya)
 2. Fitina Omborenga (Rwanda)
 3. Haji Mwinyi (Zanzibar)
 4. Jockins Atudo (Kenya)
 5. Bernard Muwanga (Uganda)
 6. Abdul-Aziz Makame (Zanzibar)
 7. Alharaish Zakaria (Libya)
 8. Patillah Omoto (Kenya)
 9. Derrick Nsibambi (Uganda)
 10. Shassir Nahimana (Burundi)
 11. Abubakher Sanni (Ethiopia)

Wachezaji wa Akiba

 1. Abdulrahman Mohamed (GK, Zanzibar)
 2. Yaleh Tilahun (Ethiopia)
 3. Himid Mao (Tanzania Bara)
 4. Milton Kalisa (Uganda)
 5. Hakizimana Muhadjiri (Rwanda)
 6. Feisal Abdalla (Zanzibar)
 7. Mudathir Yahya (Zanzibar)
 8. Wol Atak (Sudan Kusini)
 9. Vincent Oburu (Kenya)

 10. Taktak Muftah (Libya)

Mwalimu: Hemed ‘Morocco’ Suleiman (Zanzibar), Mwalimu Msaidizi: Paul Put (Kenya)

About Zanzibar Daima (1550 Articles)
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s