Yasemavyo magazeti ya Tanzania Disemba 31

Habari kubwa zaidi kuliko zote ni ile ya tishio la Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) kwamba itamchunguza Askofu Zachary Kakobe kubaini endapo ni mlipaji kodi wa kweli baada ya kiongozi huyo wa kanisa kusema kuwa yeye ana pesa kuliko serikali.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.