Zaima Media Network

Zaima Media Network

We Reach You. TUNAKUFIKIA

  • ZAIMA SHERIA
  • TIBA
  • BUR’DAAN
  • HABARI
  • KOLAMU
  • ZAIMA KAULI
  • ZAIMA SHERIA
  • ZAIMA SPECIALS
  • AJENDA YA ZANZIBAR
News Ticker
  • [ February 20, 2019 ] Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano UCHAMBUZI
  • [ February 18, 2019 ] Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo UCHAMBUZI
  • [ February 5, 2019 ] Happy Birthday CCM! UCHAMBUZI
  • [ January 31, 2019 ] Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu HABARI
  • [ January 25, 2019 ] Sheikh Karume angeshauvunja Muungano AJENDA YA ZANZIBAR
Home2018

Year: 2018

AJENDA YA ZANZIBAR

Chini ya muundo huu wa Muungano, michezo ya Z’bar haisongi mbele – Ally Saleh

July 27, 2018 Zanzibar Daima 0

Mwanamichezo wa siku nyingi ambaye ni mwanasiasa, mshairi na mwandishi wa habari, Ally Saleh, anasema kuwa muundo wa Muungano uliopo unairejesha nyuma Zanzibar kwenye eneo la michezo, ambalo japokuwa si miongoni mwa mambo ya Muungano, Endelea

AJENDA YA ZANZIBAR

Hivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein

July 27, 2018 Zanzibar Daima 0

Mwandishi na mchambuzi maarufu wa Zanzibar, Ibrahim Hussein, anasema kuwa hila dhidi ya Zanzibar zilianza tangu wakati wa kuja kwa mkoloni wa Kiingereza kwenye eneo la pwani ya Afrika Mashariki na zikaanza kudhihirika wakati wa Endelea

UCHAMBUZI

Ni kupi kuyalinda mapinduzi?

July 27, 2018 Zanzibar Daima 0

Ufuatao ni mjadala kati ya Wazanzibari watatu – Balozi Ali Karume, Bwana Salim Msom na Wakili Awadh Ali Said – juu ya mada tete ya kuyalinda mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, ambao ulianza kutokana Endelea

BREAKING NEWS

Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

May 9, 2018 Zanzibar Daima 0

Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa Endelea

HABARI

Bendera ya Marekani yachomwa Bungeni

May 9, 2018 Zanzibar Daima 0

Hasira zinaendelea kushamiri baada ya uwamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia yaliyowafikiwa kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani. Asubuhi ya leo wabunge katika bunge la Iran Endelea

JAMII

Zaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini

May 4, 2018 Zanzibar Daima 0

Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya kwenda kumhoji. Ni miezi Endelea

AJENDA YA ZANZIBAR

SMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni

April 25, 2018 Zanzibar Daima 0

Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar, mtaalamu wa uchumi na Endelea

ZAIMA KAULI

Serikali yasema hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa wala kupotea

April 20, 2018 Zanzibar Daima 0

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Aishatu Kijaji, imetoa ufafanuzi wa sakata la shilingi trilioni 1.5 ikisema hakuna fedha kama hiyo iliyopotea wala kuibiwa.

Posts navigation

1 2 … 23 »
  • UCHAMBUZI

    Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano

    February 20, 2019 0
    MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel.  Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na Endelea
  • UCHAMBUZI

    Wazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo

    February 18, 2019 0
    Upo msemo wa Kiswahili usemao “Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya”, ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi ya moyo hasa watoto hapa Endelea
  • UCHAMBUZI

    Happy Birthday CCM!

    February 5, 2019 0
    Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo wa Endelea
  • HABARI

    Vyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu

    January 31, 2019 0

    Mkoa wa Dar es Salaam ndio unaoongoza kwa uvunjifu wa haki za waandishi. Mikoa mingine inayoonekana kinara wa ukiukwaji huo ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Singida, Shinyanga na Njombe. Endelea

My Tweets
  • Congo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola

    May 9, 2018 0
    Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu imekumbwa na mripuko wa Endelea
  • Mbowe na wenzake wafutiwa dhamana, wasubiri kupandishwa kizimbani

    March 27, 2018 0
    Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wamefutiwa dhamana na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mbowe, viongozi Endelea
Tufuate kwa barua pepe

Weka anwani yako ya barua-pepe.

Join 11,204 other subscribers

Tuwasiliane
Khelef Nassor Rashid
P.O.BOX 4194
Zanzibar
+255772274011/+255718920331
office@zanzibardaima.net
Jumatatu - Ijumaa
10:00 Hrs - 17:00 Hrs

Zaima Media Network