#ZaimaMagazetini: CHADEMA yawatuma vigogo kuirejesha Kinondoni

Published on :

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawapeleka vigogo wake wakubwa kwenye kampeni za jimbo la Kinondoni, kufuatia aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kutokea Chama cha Wananchi (CUF) kukihama chama chake na sasa kuwania tena nafasi hiyo hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).