Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 4

Miongoni mwa yaliyopewa kipaumbele leo ni ushindi wa unaibu meya wa Dar es Salaam kwa upande wa UKAWA, ahadi ya Rais John Magufuli ya kulipa malimbikizo ya madeni ya ndani kufikia mwezi ujao na pia msako wa wanafunzi wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kuanzia Februari.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.