Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 6

Habari kubwa zaidi ni kile alichokisema jana Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, wakati akiwaaga madaktari na Wakenya kupitia vyombo vya habari. Kuna pia habari ya tuhuma za mtuhumiwa wa kashfa ya Escrow, Rugemalira, dhidi ya muhusika hasa wa fedha za akaunti hiyo.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.