Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 12

Mbali ya muakisiko wa mkutano wa juzi kati ya Rais John Magufuli na mpinzani wake mkuu kwenye uchaguzi wa Oktoba 2015, Edward Lowassa, kuna pia habari za kuwasilishwa kwa ripoti ya uchunguzi juu ya umiliki wa kampuni ya simu ya Airtel pamoja na kanuni za usimamizi wa sekta ya madini kwa upande wa Tanzania Bara.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.