Yasemavyo magazeti ya Tanzania Januari 15

Mbali ya ziara ya siku moja ya Rais Paul Kagame wa Rwanda nchini Tanzania, kuna pia taarifa za kufungwa kwa maduka zaidi ya 60 ya kubadilisha fedha za kigeni kutokana na ugumu wa biashara na habari ya kuhojiwa kwa viongozi wa kidini wanaoikosoa serikali.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.