Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Januari 18

Mengi yao yanazungumzia msisitizo wa Rais John Magufuli dhidi ya michango wanayolipishwa wazazi mashuleni, na pia baadhi yake yameendelea kuzungumzia mkutano wake na hasimu wake kwenye uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.