Miongoni mwa yanayoangaziwa leo ni kufutiwa usajili wa Tanzania meli ambazo zimekutwa na madawa ya kulevya na silaha nje ya nchi na pia kashfa ya uwekezaji wa shilingi 150,000 kwa mradi wa Mlimani City.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.