HABARI

Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Januari 20

Moja ya habari kubwa kabisa ni uamuzi wa CHADEMA kuingia kwenye uchaguzi wa marudio wa nafasi za ubunge licha ya hapo awali kugomea chaguzi nyengine kama hizo ikipinga matumizi mabaya ya vyombo vya dola kwenye mchakato wa kisiasa.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.