SPD waridhia mazungumzo ya serikali ya muungano Ujerumani

Asilimia 56 ya wajumbe 642 wa chama cha Social Democrat (SPD) wameunga mkono mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano pamoja na vyama ndugu vya kihafidhina CDU/CSU yaanze. Nini kitafuata baadaye?

“Sote tumeshusha pumzi bila ya shaka. Ni matokeo yanayodhihirisha jinsi mapambano yalivyokuwa makali. Bila ya shaka nimefurahi kuona kwamba tumekabidhiwa jukumu la kuongoza mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano.”

Furaha yake si ya bure kwa sababu pindi walio wengi wangepiga kura ya “la”, basi uchaguzi mpya ungebidi uitishwe, na hakuna si Martin Schulz na wala si Angela Merkel, ambaye angeachiwa kuongoza orodha ya wagombea wa chama chake.

Zaidi soma hapa. 

About Zanzibar Daima 1611 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.