Wanawake waandamana dhidi ya ubakaji hospitalini Kenya

Makundi ya wanawake nchini Kenya yameandamana kuishinikiza serikali kuchukua hatua kuhusiana na madai kuwa akinamama waliojifungua wamekuwa wakidhulumiwa kingono katika Hospitali Kuu ya Taifa, Kenyatta National Hospital.

Maandamano hayo yanafanyika wakati ambapo ripoti ya uchunguzi uliyoagizwa na waziri wa afya nchini humo inatarajiwa kutolewa rasmi. Waziri Cleopha Mailu aliagiza uchunguzi huo kufanywa, baada ya wanawake waliojifungua kudai kwamba wanadhalilishwa kingono.

Zaidi soma hapa.

 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.