Siku moja baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni mkoani Dar es Salaam, macho yote yanaelekezwa hapo kuliko kwenye jimbo jengine la Siha ambalo pia lina uchaguzi. Nini maana yake? Pitia kurasa za magazeti ya leo.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.