George Weah aahidi kubadilisha sheria za uraia Liberia

Rais George Weah wa Liberia ametoa agizo la kuondolewa kipengele kwenye katiba kinachoruhusu upatakanaji wa uraia kwa watu weusi tu, akisema kipengele hicho ni cha ”kibaguzi na hakifai” katika hotuba yake ya kwanza ya taifa tangu achaguliwe kuwa rais.

Zaidi soma hapa.

About Zanzibar Daima 1599 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply