Raila aapishwa kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Kenya

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ameapishwa kuwa ‘Rais wa Wananchi wa Kenya’, katika hatua ya kupinga muhula mpya wa Rais Uhuru Kenyatta baada ya miezi kadhaa ya machafuko ya uchaguzi.

Serikali  ilizima  matangazo  ya  moja  kwa  moja  ya  vituo vitatu  vikuu  vya  televisheni  wakati  umati wa  watu ulipokusanyika  katika  uwanja  wa  Uhuru Park  mjini  Nairobi  kuhudhuria kuapishwa kwa Odinga.

Zaidi soma hapa

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.