
Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ameapishwa kuwa ‘Rais wa Wananchi wa Kenya’, katika hatua ya kupinga muhula mpya wa Rais Uhuru Kenyatta baada ya miezi kadhaa ya machafuko ya uchaguzi.
Serikali ilizima matangazo ya moja kwa moja ya vituo vitatu vikuu vya televisheni wakati umati wa watu ulipokusanyika katika uwanja wa Uhuru Park mjini Nairobi kuhudhuria kuapishwa kwa Odinga.
Zaidi soma hapa
Be the first to comment