Wazanzibari ‘wanaoushitaki’ Muungano wahofia maisha yao

Published on :

Kiongozi wa kundi la Wazanzibari 40,000 waliofunguwa kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rashid Salum Adi, anasema anakhofia usalama wa maisha yake na sasa ameuomba Umoja wa Mataifa kumpa ulinzi yeye na viongozi wenzake ili waweze kushiriki kikamilifu kwenye kesi hiyo. Katika […]

Mbowe asema wananchi wanataka kulipiza kisasi, lakini anawazuwia

Published on :

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa wananchi wanaushinikiza uongozi wa chama hicho kuwaruhusu kutumia njia zao wenyewe kujilinda na kulipiza kisasi dhidi ya mauaji na mateso yanayofanywa kwao kutokana na sababu za kisiasa, lakini yeye na viongozi wenzake wanawazuwia kwa kuwa wanaamini kwenye ustaarabu […]

CUF yazitangaza NEC, ZEC maadui wa taifa

Published on :

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) ndio maadui wakubwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitabiri kwamba katika siku zijazo taasisi hizo zenye dhamana ya kusimamia uchaguzi zitaiingiza nchi kwenye maafa makubwa.

Kutana na mwanamke aliyekataa kuvuliwa nguo jela

Published on :

Licha ya kwamba maafa ya Januari 2001 visiwani Zanzibar yamepita, lakini ukweli ni kuwa yamebakia hadi leo ndani ya nafsi na miili ya watu. Mmojawapo ni Bi Fathiya Zahran Salum ambaye siku ya tarehe 26 Januari 2001 imebakia kuwa na alama kubwa kwake na kwa mustakbali wake. Lakini alisimama na […]

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – IV

Published on :

Kwenye sehemu ya tatu ya uchambuzi huu wa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud, mwandishi alimalizia kuchambua baadhi ya ibara za Katiba Inayopendekezwa vinavyoiangamiza kabisa Zanzibar, licha ya kupitishwa kwa mbwebwe kubwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutokea CCM upande wa Zanzibar, ambao wengine leo hii wanamkejeli […]

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 2

Published on :

Ilipoishia shemu ya kwanza! Tuliona jinsi Abdull na Talib ambao ni ndugu walivyotoka Dodoma na kufika Dar es Salaam, baada ya mapumziko ya siku chache wakaelekea Zanzibar katika kisiwa cha Unguja. Huko wakaanza maisha, Abdull akiishi km mgonjwa wa akili na Talib akiwa na mtangamano mzuri na jamii inayomzunguka. Yote […]