Chuo Kikuu Huria cha Tanzania sasa chajiimarisha Pemba

Suala la elimu ya juu linazidi kupewa mbele na wananchi wa Zanzibar, ambapo idadi ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu inapanda kila mwaka, na hiyo inatajwa kuwa moja ya sababu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuimarisha tawi lake kisiwani Pemba. Ambatana na Kauthar Is-haq akiripoti moja kwa moja kutoka Pemba.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.