HABARI

FIFA haina hoja kuinyima Zanzibar uanachama – Alberto

Imeelezwa kuwa hoja ya Shirikisho la Soka la Ulimwengu (FIFA) kuwa haliwezi kuipa uwanachama Zanzibar kwa kuwa si mwanachama wa Umoja wa Mataifa haina mashiko kwa kuwa FIFA ina wanachama wengi zaidi kuliko wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na hiyo ikimaanisha kuwa ndani ya FIFA muna nchi wanachama kadhaa ambazo si madola kamili kama ilivyo Zanzibar. Hayo ni kwa mujibu wa Mbunge wa Malindi, Ally Saleh (Alberto), amabye ni mdau mkubwa wa soka visiwani Zanzibar katika mazungumzo yake maalum na Zaima TV. Msikilize hapa.

 

 

 

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.