Kwa CCM, ushindi ni jambo la lazima

Chama cha Mapinduzi (CCM) upande wa Zanzibar kinasema kwamba suala la ushindi kwenye kila uchaguzi unaofanyika halina mjadala kwake na kwamba kitaendelea kushinda daima. Msikilize hapa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdallah Juma Mabodi.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.