HABARI

Makao Makuu cha CUF Mtendeni yavamiwa, wenyewe watoa kauli

Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar lilivamia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani visiwani humo , The Civic United Front (CUF), yaliyo katikati ya mtaa wenye shughuli nyingi wa Mtendeni, kwa madai ya kusaka silaha ambazo waliarifiwa ziliingizwa hapo. Baada ya uvamizi huo, CUF ilizungumza na waandishi wa habari. Sikiliza kauli ya mkurugenzi wa chama hicho wa habari na mahusiano na umma, Salim Bimani hapa.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.