Namna ya kuitambua hasad na kujikinga nayo

Neno ‘jicho’ limetajwa mara kadhaa kwenye kitabu kitukufu cha Qur’an na hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) na baadhi ya wakati likihusishwa na nguvu zake za kusababisha uovu na madhara, ikiwemo hasad. Je, ni nini hasad? Vipi unaitambua? Na vipi unajitibu ikikupata au kujikinga nayo isikudhuru? Ambatana na Sheikh Sultan Al Mendhry kwenye kipindi hiki cha Nuru ya Tiba.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.