‘Subalkheri Mpenzi’ yawaweka mashakani akina Aslay

Msanii wa kizazi kipya kutoka Tanzania Bara ambaye ameiimba tena nyimbo mashuhuri ya ‘Sabahalkher Mpenzi’ iliyoimbwa miaka ya zamani na Mwanapombe Hiyari na Marehemu Sami Haji Dau, amewasili Zanzibar kukutana na Bi Mwanapombe kuzungumzia hakimiliki za nyimbo hiyo.

About Zanzibar Daima 1696 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply