Tambua haki zako ukiwa mikononi mwa polisi

Kukamatwa na polisi si kosa, bali ni utaratibu wa kisheria tu. Kwa hivyo, hata unapotiwa nguvuni kwa tuhuma ya kosa fulani, bado wewe hujawa mkosa, na bado una haki zako kamili kama raia na kama mwanaadamu. Kuzijuwa haki hizo, ambatana na Wakili Msomi Omar Said Shaaban akikufahamisha kwa undani zaidi.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.