Viongozi 5 wa Uamsho watoweka kiutatanishi

Viongozi watano wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu visiwani Zanzibar hawajuilikani walipo baada ya kutoweka majumbani mwao kwa takribani wiki ya pili sasa. Miongoni mwao ni Amiri wa Jumuiya hiyo, Hajj Khamis Hajj, ambaye alikuwa kinara wa kukusanya michango kwa ajili ya familia za viongozi wenzao ambao tayari wamekuwako ndani tangu mwaka 2013. Sikiliza familia zao zinavyosema.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.