Wakili Msomi Omar Said Shaaban azungumza na #MadeInZanzibar

Kwenye mfululizo wa makala zetu za #MadeInZanzibar (#SisiNdioZanzibar) zenye lengo la kuonesha vipaji na mafanikio ya Wazanzibari kwa ajili ya kuwatia moyo wengine, leo Zaima TV inazungumza na wakili msomi na aliye pia Rais wa Chama cha Wanasheria cha Zanzibar (ZLS), Omar Said Shaaban, ambaye ni mfano wa vijana waliojiinuwa na kujijenga kwenye taaluma ya sheria kwa mafanikio makubwa. Jifunze kutoka kwake hapa.

About Zanzibar Daima 1700 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply