HABARI

Wazanzibari 40,000 waushitaki Muungano

Jumla ya Wazanzibari 40,000 wamesaini waraka wa kumshitaki Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar pamoja na mamlaka nyengine, wakipinga uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa madai ya kutokuwa na maslahi kwa upande wa Zanzibar. Kesi yao imewasilishwa kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki na imepangiwa kusikilizwa mapema mwezi Machi 2018. Msikilize hapa kiongozi wa Wazanzibari hao, Rashid Salum Adi, akizungumza na Zaima TV.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.