Chama cha Mapinduzi upande wa Zanzibar kimepaza sauti yake dhidi ya tabia inayoendelea kukuwa ya kuwaharibu watoto wadogo kikitaka sheria kali iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi isainiwe haraka na kuanza kufanya kazi.

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.