Wavumbuzi wa SUZA wafanya maajabu mengine

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA Secondary) wameibuka tena na ushindi kwenye jukwaa la kimataifa, baada ya kushinda tuzo ya biashara katika mashindano yafahamikayo kama School Enterprise Challenge yaliyozishirikisha nchi zaidi ya 100 ulimwenguni chini ya shirika la British Charity kupitia mradi wa Teach a Man to Fish.

 

 

 

 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.