Baada ya mauaji mengine ya kikatili, sasa CHADEMA yataka wanachama wajilinde

Kufuatia mauaji mengine ya kikatili dhidi ya diwani wake, Godfrey Luena, sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake popote walipo kujilinda wenyewe dhidi ya mashambulizi yanayofanywa na  watu ‘wasiojuilikana’, sambamba na kulitaka jeshi la polisi kueleza kwa nini lisitiliwe shaka kwa kifo cha Luena wa Kata ya Namwawala, wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro.

 

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.