CUF yazitangaza NEC, ZEC maadui wa taifa

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) ndio maadui wakubwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitabiri kwamba katika siku zijazo taasisi hizo zenye dhamana ya kusimamia uchaguzi zitaiingiza nchi kwenye maafa makubwa.

About Zanzibar Daima 1613 Articles
Zanzibar Daima, Jana, Leo na Kesho

Be the first to comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.