JAMII

Kutana na mwanamke aliyekataa kuvuliwa nguo jela

Licha ya kwamba maafa ya Januari 2001 visiwani Zanzibar yamepita, lakini ukweli ni kuwa yamebakia hadi leo ndani ya nafsi na miili ya watu. Mmojawapo ni Bi Fathiya Zahran Salum ambaye siku ya tarehe 26 Januari 2001 imebakia kuwa na alama kubwa kwake na kwa mustakbali wake. Lakini alisimama na anaendelea kusimama hadi leo. Sikiliza… Continue reading Kutana na mwanamke aliyekataa kuvuliwa nguo jela

SIASA

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – IV

Kwenye sehemu ya tatu ya uchambuzi huu wa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud, mwandishi alimalizia kuchambua baadhi ya ibara za Katiba Inayopendekezwa vinavyoiangamiza kabisa Zanzibar, licha ya kupitishwa kwa mbwebwe kubwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kutokea CCM upande wa Zanzibar, ambao wengine leo hii wanamkejeli Waziri wa Sheria na Katiba… Continue reading La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – IV

UTAMADUNI

Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 2

Ilipoishia shemu ya kwanza! Tuliona jinsi Abdull na Talib ambao ni ndugu walivyotoka Dodoma na kufika Dar es Salaam, baada ya mapumziko ya siku chache wakaelekea Zanzibar katika kisiwa cha Unguja. Huko wakaanza maisha, Abdull akiishi km mgonjwa wa akili na Talib akiwa na mtangamano mzuri na jamii inayomzunguka. Yote haya wanayafanya wakiwa na sababu… Continue reading Riwaya: Safari ya Kumuua Rais – 2

SIASA

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – III

Katika sehemu ya pili ya uchambuzi huu, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud, alianza kuvichambua vifungu vya Katiba Inayopendekezwa iliyopitishwa kwa shangwe na kutetewa na wana-CCM wa Zanzibar mjini Dodoma. Kwenye sehemu hii, anaendelea kuvichambua vifungu hivyo. - Mhariri.  Mfumo wa Serikali Mbili [Ibara ya 73] Ibara ya 73 ya Katiba Inayopendekezwa imeweka… Continue reading La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba – III

Nassor Mazrui
HABARI

CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa kongamano kwenye ukumbi wa Makonyo, Chake Chake kisiwani Pemba hapo kesho (Jumamosi, 24 Februari 2018).   Hii hapa chini ndiyo taarifa rasmi ya CUF… Continue reading CUF yatoa kauli rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba