UTAMADUNI

Riwaya:Safari ya Kumuua Rais-7

Ilipoishia wiki iliyopita tuliona Abdull akimuaga Fartuun anaondoka na hatorudi tena Somalia, halikuwa jambo rahisi  kwa Fartuun kukubali. Fartuun akamuomba Abdull wakutane kwa mara ya mwisho…Endelea… Ilipofika jioni Fartuun alijikongoja kuelekea alipoelezwa na Abdull kwamba wangekutana, naye Abdull hakutaka kuchelewa kufika katika fukwe na Lido  kumuona kwa mara ya mwisho. “Pole…”, alisema Abdull mara baada… Continue reading Riwaya:Safari ya Kumuua Rais-7

HABARI

Lissu asema serekali iliiomba  SCEL kuficha Bombardier kukamatwa

Mwanasheria na Mbunge wa Singida Mashariki,  Tundu Lissu  amefichua kwamba serekali ya Tanzania ilitaka kufichwa juu ya kukamatwa kwa ndege ya Bombardier huko Canada. Leo kupitia ukurasa wake wa Intagram Lissu amefichua kwamba serekali ilipeleka Waziri wa Mambo ya Nje, Dr. Augustine Mahiga, na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Jack Zoka, kwenda Toronto kufanya mazungumzo… Continue reading Lissu asema serekali iliiomba  SCEL kuficha Bombardier kukamatwa

HABARI

Mambosasa asema aliyemuua Akwilina bado hajajuulikana

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameviambia vyombo vya habari aliyemuua Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini bado hajajuulika na uchunguzi unaendelea. Mambosasa ameyasema hayo  leo wakati akijibu swali la mwandishi wa habari juu ya maendeleo ya uchunguzi wa mauaji ya Akwilina yaliyotokea wakati Polisi ikitawanya… Continue reading Mambosasa asema aliyemuua Akwilina bado hajajuulikana

HABARI

Nape atema cheche juu ya demokrasia nchini

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema Tanzania inaweza kuwa Taifa la ovyo iwapo itashindwa kujifunza siasa za kuvumiliana hata kama yale yanayosemwa hayapendezi. Nape ambaye amekuwa akiibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ujumbe mbalimbali anaotoa amesema ili Taifa liweze kutembea katika mstari ulionyooka, linapaswa kujenga utamaduni wa kuvumiliana. Mwanasiasa huyo alisema hayo… Continue reading Nape atema cheche juu ya demokrasia nchini