HABARI

CHADEMA yataka kukutana na Magufuli

Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) kinamtaka Rais John Magufuli aitishe haraka kikao na wazee wa taifa wakiwemo wa chama hicho ili kuzungumzia mustakabali wa nchi kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya. Zaidi angalia vidio hii hapa:

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.